Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Wanaharakati wa Kike (Shaabat) wa Hizb ut Tahrir “Wanawake wa al-Sham Wanalia kwa Sauti Kuu, Yuko Wapi Mu’tasim! Je, Kuna Yeyote wa Kuitikia Kilio Chao?"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wanaharakati wa kike (Shaabat) wa Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria waliandaa maandamano katika mji wa Idlib kupinga kauli za khiyana za hivi karibuni za serikali ya Uturuki zinazotaka kuwepo na mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad, yenye kichwa “Wanawake wa al-Sham Wanalia kwa Sauti Kuu, Yuko Wapi Mu’tasim! Je, Kuna Yeyote wa Kuitikia Kilio Chao?"