- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Kipindi cha Al-Waqiyah TV: Hewani na Ahmad al-Qasas
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari chaneli yake mpya ya Runinga, Al-Waqiyah, kipindi kipya kwa jina "Hewani na Ahmad al-Qasas" ambapo Sheikh Ahmad al-Qasas atakichambua kitabu, Nidhamu ya Uislamu. Kuwa pamoja nasi.
Tunafuraha kutangaza kuwa silsila hii sasa itajumuisha tafsiri ya Kiingereza. Kuwa pamoja nasi kwa vipindi vipya.
UTANGULIZI
Na Sheikh Ahmad al-Qasas
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu - Kipindi 01 (Mpya)
Hitajio la Mwanadamu la Aqeedah (Itikadi)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 02 (Mpya)
Mizani za Aqeeda
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 03 (Mpya)
Njia ya Imani - Kuthibitisha Uwepo wa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 04 (Mpya)
Njia ya Imani - Je, Hisia Pekee Zatosha katika Kumwamini Mwenyezi Mungu?
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 05 (Mpya)
Njia ya Imani - Kushindwa kwa Akili Kudiriki Dhati ya Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 06 (Mpya)
Njia ya Imani – Hitajio la Mwanadamu la Ujumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 07 (Mpya)
Njia ya Imani – Dalili ya Utume wa Mohammad (saw)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 08 (Mpya)
Njia ya Imani – Fahamu ya Iman na Dalili Yake
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 09 (Mpya)
Njia ya Imani – Masharti ya Iman
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 10 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Iman katika Al-Qadar
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 11 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Suala la Al-Qadha wa Al-Qadar
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 12 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Fahamu ya Uongofu na Upotevu katika Quran
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 13 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Muda wa Uhai Uko Mikononi mwa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 14 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Riziki Iko Mikononi mwa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 15 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Kumtegemea Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 16 (Mpya)
Hukmu ya Sheria
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 17 (Mpya)
Kiwango cha Hukmu za Sheria
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 18 (Mpya)
Hukmu ya Sheria – Ijtihad na Mujtahidina
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 19 (Mpya)
Ni Wakati Gani Mujtahid Huacha Rai Yake?
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 20 (Mpya)
Hukmu ya Sheria – Kuiga (Taqlid) na Waigaji (Muqalidina)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 21 (Mpya)
Hukmu ya Sheria – Kuzunguka Baina ya Mujtahidina
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 22 (Mpya)
Sunnah
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 23 (Mpya)
Uwajibu wa Kuitendea Kazi Habari ya Mtu Mmoja (Khabar al-Ahad)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)