Kizazi Kichanga - Mshawishi katika Kusimamisha Uislamu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uteuzi wa Dato Seri Anwar Ibrahim kuwa Waziri Mkuu wa 10 wa Malaysia hatimaye umemaliza kipindi cha siku 5 cha ‘wadhifa wazi wa serikali’ baada ya Uchaguzi Mkuu wa 15 (GE15). Mfalme wa Malaysia, Yang di-Pertuan Agong Sultan Abdullah Ri’ayatuddin Al-Mustafa Billh Shah, ameridhia uteuzi huu na kuanzishwa kwa serikali ya umoja ya Malaysia.