Fahamu za Hizb ut Tahrir
- Imepeperushwa katika Vitabu
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kitabu cha Fahamu za Hizb ut Tahrir
Kitabu cha Fahamu za Hizb ut Tahrir
Kitabu cha Muundo wa Chama
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu
Mnamo 18 Julai, katika mji wa St.Petersburg, mwanamke wa Kiislamu Jannat Bespalova (Alla Bespalova) alipatikana na hatia kwa kushiriki shughuli za Hizb ut Tahrir kutokana na kukiri kwa Bespalova juu ya mashataka hayo dhidi yake na kunyimwa haki ya kupinga uamuzi huo na mahakama haikuutilia maanani ushahidi wake na badala yake kumfunga kifungo cha miaka mitano gerezani.