Jinamizi la “Harusi ya Demokrasia”
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
George W. Bush alidai kuwa serikali ya Saddam Hussein ilimiliki silaha za maangamivu makubwa, hivyo basi kuwa tishio kwa amani ya ulimwengu. Hiki kilikuwa ni kisingizio chake cha kuiangamiza Iraq na kuikalia mnamo 2003 katika “Oparesheni Uhuru wa Iraq”...