Minbar ya Ummah: Matembezi ya Takbira na Tahlil katika Mji wa Idlib!
- Imepeperushwa katika Minbar Ummah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Matembezi ya Takbira na Tahlil katika Mji wa Idlib.
Matembezi ya Takbira na Tahlil katika Mji wa Idlib.
Waislamu wameghadhabishwa kwamba uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Sheria ya Majimbo wa kuondoa riba kutoka kwa uchumi wa Pakistan kwa mara nyingine tena umepingwa katika Mahakama ya Upeo, ambako kesi hiyo ilikuwa inasubiri uhakiki kwa miaka ishirini tayari.
Kuhuisha Sunnah ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah.
Pongezi kutoka kwa Wabebaji Ulinganizi Kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Iliyobarikiwa 1443 H