Jumanne, 01 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali Kubwa “Mwaka Mzima umepita, na Nchi 57 Hazijachukua Hatua Yoyote!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa Waislamu zaidi ya 150,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir/ Wilayah ya Uturuki iliandaa baada ya swala ya Ijumaa matembezi na visimamo vikubwa katika miji 16 kote nchini Uturuki, kama ambavyo Hizb pia iliandaa makongamano, vikao na mikutano mikubwa chini ya kichwa:

“Mwaka Mzima umepita, na Nchi 57 Hazijachukua Hatua Yoyote!”

Kuwataka Waislamu waungane chini ya bendera ya Khalifa mmoja ambaye atakusanya mara moja majeshi kwa ajili ya kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kutoka mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Ijumaa, 02 Rabi’ ul-Akhir 1446 H sawia na 02 Oktoba 2024 M

Sehemu ya Amali hizo Kubwa

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu