Ijumaa, 10 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Mkutano wa Waandishi Habari “Suluhisho la Tatizo (Israel) na Ukombozi wa Palestina katika Nukta 10”

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa Waislamu zaidi ya 37,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Uturuki inaandaa amali ya kusoma taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa katika makao makuu ya "Koklu Degisim " jijini Istanbul chini ya kichwa:

"Suluhisho la Tatizo (Israel) na Ukombozi wa Palestina katika nukta 10"

Umma utafafanuliwa juu ya uhakika wa kadhia ya Palestina na ni lipi suluhisho la kadhia hii katika matangazo ya moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii.

Basi kuweni pamoja nasi na mushiriki thawabu, na Mwenyezi Mungu (swt) atatunusuru, hata kama ni baada ya muda.

Jumamosi, 27 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 11 Novemba 2023 M

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Amali -

- Bango la Ualishi wa Amali -

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu