Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Kongamano la kila Mwaka la Khilafah “Khilafah ya Kiislamu... kama Mfumo Mpya wa Kimataifa”


Kwa mnasaba wa karne moja ya Miladi (103 H), Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia itafanya Kongamano la kila mwaka la Khilafah chini ya kichwa:

“Khilafah ya Kiislamu... kama Mfumo Mpya wa Kimataifa”

Hili litakuwa saa tano asubuhi saa za Tunisia (saa saba adhuhuri saa za Madina) katika ukumbi wa mikutano wa afisi ya Hizb – Makutano ya barabara ya Sokra Ariana mji mkuu Tunis.

Jumapili, 22 Sha’aban 1445 H sawia na 03 Machi 2024 M

- Tangazo Muhimu Sana -

Ualishi wa Kuhudhuria Kongamano la kila Mwaka la Khilafah

Ustadh Khubaib Karbaka

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia

Video Fupi ya Kongamano la kila Mwaka la Khilafah

- Alama Ishara za Amali hii -

#أقيموا_الخلافة

#كيف_تقام_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu