- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Matembezo ya Kuinusuru Gaza “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja”
Mbele ya ushujaa ulioonyeshwa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, uzingiraji wake na upigaji mabomu wake unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu katika miezi iliyopita kwa Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 71 wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa kichwa “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja” kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji wahalifu.
Ijumaa, 23 Jumada Al-Akhir 1445 H sawia na 05 Januari 2024 M
- Video ya Ualishi wa Matembezi -
- Alama Ishara za Amali hii -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia: