- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Matembezi ya Ukombozi… Kuwanusuru Watu wa Palestina na Msikiti ulio Mateka wa Al-Aqsa
Mbele ya ushujaa ulioonyeshwa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, uzingiraji wake na upigaji mabomu wake unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu katika mwezi uliopita kwa Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 43 wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa ajili ya kuwanusuru watu wa Palestina na Msikiti ulio mateka wa Al-Aqsa, kuyataka majeshi ya Waislamu ya taharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu wauwaji.
Mnamo siku ya Ijumaa, Novemba 24, baada ya swala ya Ijumaa (1:00 adhuhuri), kuanzia Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu hadi Barabara ya Al-Thawra. Basi kuweni pamoja nasi na mushiriki katika ujira na Mwenyezi Mungu atatunusuru hata kama ni baada ya muda.
Ijumaa, 10 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 24 Novemba 2023 M
Mchangio wa Ustadh Ahmed Tatar, Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia
- Video ya Ualishi wa Matembezi -
- Alama Ishara za Amali hii -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia: