Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Umma: Maandamano Katika Kambi za Al-Karameh "Na yanayo Ficha Vifua Vyao ni Makubwa Zaidi"

Kujitokeza kwa halaiki ya watu wa viunga vya Hama Kaskazini na Idlib Kusini katika maandamano katika mkusanyiko wa kambi za Al-Karameh, kukataa suluhisho la kisiasa la Kiamerika na dori ya Uturuki chini ya anwani "Na yanayo Ficha Vifua Vyao ni Makubwa Zaidi".

Ijumaa, 06 Rabi al-Awwal 1442 H sawia na 23 Oktoba 2020 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni chaneli maalumu inayopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu