Alhamisi, 19 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina:

Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah 1444 H - 2023 M

Katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina chini ya kichwa:

“Khilafah Itakomboa Ardhi na Kulinda Heshima”

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 Hijria ya kuvunjwa dola ya Kiislamu (Khilafah) kwa mikono ya wasaliti wa Kiarabu na Kituruki mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H.

Ijumaa, 12 Rajab 1444 H - 03 Februari 2023 M

Ushiriki wa Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Katika shughuli za kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Khilafah

Jumapili, Rajab 28 Muharram 1444 H - 19 Februari 2023 M

Ushiriki wa Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Katika kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa kwa Khilafah

Mashabaat wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) katika mwezi mtukufu wa Rajab walifanya shughuli mbalimbali katika kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Khilafah katika maeneo mbalimbali, zikiwemo darsa, semina, mijadala na mihadhara juu ya kumbukumbu hii chungu na uhalisia tunaoishi ndani yake, na bishara njema ya kusimama Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, na kuorodhesha mustakbali mwema wa Ummah na kwa ulimwengu wote kuisimamisha, Mungu akipenda.

Shughuli hizi zilihitimishwa kwa semina kubwa iliyohudhuriwa na mamia ya kina dada, yenye kichwa "Khilafah ni Mwokozi wa Wanadamu Wote".

Jumapili, 13 Shaaban 1444 H - 05 Machi 2023 M

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

- Angazo la shughuli za kitengo cha wanawake katika hafla ya kuadhimisha miaka 102 ya kuvunjwa kwa Khilafah -

Ijumaa, 11 Shaaban 1444 H - 03 Machi 2023 M

- Sehemu ya shughuli za kitengo cha wanawake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa kwa Khilafah -

Jumapili, Rajab 28 Muharram 1444 H – 19 Februari 2023 M

- Picha za shughuli za kitengo cha wanawake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Khilafah -

Kalima ya Dkt. Ibrahim Al-Tamimi

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

“Khilafah ndio Izza na Njia ya Wokovu wa Wanadamu”

Jumamosi, 13 Rajab Tukufu 1444 H - 04 Februari 2023 M

Kalima ya Dkt. Mus’ab Abu Arqub

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

“Kukosekana kwa Dola ya Khilafah ni Janga Linaloendelea!”

Alhamisi, 18 Rajab Tukufu 1444 H - 09 Februari 2023 M

Kalima ya Ustadh Alaa Abu Swaleh

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

"Khilafah ndio Izza na Njia ya Wokovu wa Wanadamu!"

Jumanne, 23 Rajab Tukufu 1444 H – 14 Februari 2023 M

Kalima ya Mhandisi Baher Swaleh

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

"Khilafah ndio Izza na Njia ya Wokovu wa Wanadamu!"

Alhamisi, 25 Rajab Tukufu 1444 H – 16 Februari 2023 M

Kalima ya Hotuba ya Sheikh Taher Al-Khabas

Kutoka Kizazi cha Kwanza

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

Jumanne, 23 Rajab Tukufu 1444 H – 14 Februari 2023 M

Kalima ya Ustadh Jandal Salah

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

"Khilafah ni Ukweli wa Kisheria na Kisiasa!"

Jumanne, 23 Rajab Tukufu 1444 H – 14 Februari 2023 M

Video Fupi ya Amali za Gaza Hashim

Ijumaa, 12 Rajab 1444 H - 03 Februari 2023 M

- Kutoka Gaza… Hizb ut Tahrir Yaelekeza Wito kwa Waislamu na Majeshi Yao -

Kalima ya kisimamo kilicho andaliwa na Hizb ut Tahrir katikati mwa Gaza katika kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Khilafah iliyotolewa na mhandisi Adel Al-Buraim, mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).

Ijumaa, 19 Rajab Tukufu 1444 H - 10 Februari 2023 M

Kisimamo Eneo la Kati huko Gaza Hashim

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah kwa Anwani:

 “Khilafah ndio Izza na Njia ya Wokovu wa Wanadamu.”

Jumanne, 23 Rajab Tukufu 1444 H – 14 Februari 2023 M

Semina ya Kumbukumbu ya miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah

“Khilafah ni Tamkini kwa Waislamu na Tetemeko dhidi ya Madhalimu Wahalifu!”

Iliyotolewa na Sheikh Neser Zalloum – Mji wa Khalil Al-Rahman

Alhamisi, Rajab 25 Muharram 1444 H – 16 Februari 2023 M

Darsa ya Msikitini kwa Anwani:

"Kudumu katika Amri ya Mwenyezi Mungu pekee ndiyo Njia ya Ushindi!"

Na Ustadh Naeem Abu Iwadh

Daura – Mji wa Khalil Al-Rahman - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Alhamisi, Rajab 25 Muharram 1444 H – 16 Februari 2023 M

Kalima ya Dkt. Muhammad Afif Shadid katika muhadhara wa Mashababu wa Hizb ut Tahrir huko Qalqilya.

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Khilafah, yenye kichwa:

“Enyi vijana wa Kiislamu, njooni muinusuru dini yenu.

” Ijumaa, 19 Rajab Tukufu 1444 H - 10 Februari 2023 M

- Maoni ya baadhi ya vijana kuhusu Khilafah pembezoni mwa muhadhara huo -

Alama Ishara za Kampeni

#أقيموا_الخلافة  #ReturnTheKhilafah  #خلافت_کو_قائم_کرو 
#كيف_تقام_الخلافة  #YenidenHilafet  #TurudisheniKhilafah

Bonyeza hapa Kufuatilia Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah 1444 H – 2023 M

Kwa Maelezo Zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Facebook: Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Twitter: Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

YouTube: Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu