Jumatatu, 17 Dhu al-Qi'dah 1444 | 2023/06/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Demokrasia na Udikteta Huleta Maangamivu, Simamisheni Khilafah!

Ardhi zetu ni tajiri, lakini tunakufa njaa, kwani Demokrasia inatufunga minyororo kwa IMF, kwa kuongeza ushuru, malipo ya riba, deni na mfumko wa bei.

Majeshi yetu ni mashujaa na yana uwezo, lakini Demokrasia inayazuia, wakati Mtume wetu (saw) anashambuliwa, na wakati Kashmir Inayokaliwa na Al Masjid Al Aqsa zinakaliwa kimabavu.

Hebu na tupaze sauti zetu kwa  ajili ya hukmu kwa yote aliyoteremsha Mwenyezi Mungu (swt)

Hebu na tuyaitisheni majeshi yetu yatoe Nusrah zao kwa ajili ya Khilafah!.

#EndDemocracyRestoreKhilafah

Jumanne, 10 Safar-ul Khair 1444 H - 06 Septemba 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu