Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Malaysia: Amali ya Kuinusuru Palestina na Kuyahamasisha majeshi ya Waislamu

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea katika kushambulizi yake dhidi ya Msikiti uliobarikiwa na uzingiraji wake wa Ukanda wa Gaza kwa miaka 17, Hizb ut Tahrir / Malaysia iliandaliwa mbele ya Msikiti wa Putra huko Putrajaya amali ya kutoa ujumbe mkali sana kwa Waziri Mkuu wa Malaysia na watawala wengine wa Kiislamu kuhusu wajibu wao wa kupeleka majeshi ya Waislamu hadi Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina mara moja. Kutoka msikiti hapo, waandamanaji walitembea kuelekea afisi ya Waziri Mkuu, iliyoko umbali wa kilomita moja. Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Malaysia, ulioongozwa na msemaji rasmi wa hizb nchini Malaysia, Ustadh Abdul Hakim Othman, ulitoa kumbukumbu, ambayo ilipokelewa na mwakilishi wa Waziri Mkuu wa Malaysia.

Hizb ut Tahrir ilisisitiza katika mkusanyiko huu kwamba mzozo nchini Palestina kamwe hautamalizika isipokuwa suluhisho sahihi lichukuliwe, ambalo ni jihad kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ambayo watawala wa Waislamu wanastahili kutangaza. Walakini, wao, haswa watawala wa Kiarabu, ndio ngome ya umbile la Kiyahudi na ni wasaliti kwa Umma. Licha ya usaliti wao, Hizb ut Tahrir huwahisabu kila wakati kwa wajibu wao wa kutuma majeshi, na wakati huo huo hizb inafanya kazi kila wakati kuwabadilisha kwa Khalifa Rashid.

Ijumaa, 28 Rabi’ al-Awwal 1445 H - 13 Oktoba 2023 M

- Ripoti ya Video ya Amali -

- Picha za Amali -

 

#Al-Aqsa Flood

#Armies_to_the_Aqsa

#Al-Aqsa_crying_armies

#AksaTufanı

#OrdinaryAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi, Tafadhali zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Malaysia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Facebook: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Instagram: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Telegram: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu