Jumatano, 15 Rajab 1446 | 2025/01/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika:

Amali Pana za Kuyataka Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa!

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa Waislamu zaidi ya 30,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Amerika iliandaa amali pana katika miji mbali mbali kutoka Amerika Mashariki hadi Magharibi yake zikiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki kwa ajili ya kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wanyakuzi.

Jumanne, 16 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 31 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Amerika:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Amerika

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Amerika

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu