Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 426/427/428
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 54 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Katika mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kwa kuhitimisha amali angazo pana iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika kipindi chote cha mwezi wa Rajab 1443 H
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari silsila mpya ya video kutoka kwa vipindi vya Al-Waqiyah TV zenye kichwa "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi