Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Gaza inakufa kwa Njaa huku Watawala Mabwege Wakiuzingira na Kufuja Mali za Umma”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Matembezi yalioandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia yalitoka katika mji mkuu wa Tunis, baada ya swala ya Ijumaa, mnamo tarehe 03 Dhu al-Hijjah 1446 H sawia na tarehe 30 Mei 2025 M kuanzia Msikiti wa Al-Fath kunusuru watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa ulio mateka, ambayo yaliitishwa na watu wa Zaytouna Tunisia chini ya kichwa: “Gaza inakufa kwa Njaa huku Watawala Mabwege Wakiuzingira na Kufuja Mali za Umma”