Nigeria Yakabiliana na Mustakbali Usiothabiti
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tangu uhuru mwaka wa 1960, historia ya kisiasa ya Nigeria imekuwa ya kuzongwa na matatizo kadhaa - vita vya kikabila, vita vya kidini, vita vya mafuta, mapinduzi ya kijeshi nk.