Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Khalifah ni Ngao ya Ummah wa Kiislamu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Tuko katika umasikini licha rasilimali zetu nyingi.
Kuanguka kwa Khilafah Kwahitaji Kazi ya Kurudi Kwake.
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya kikao mnamo Jumanne, Januari 11, 2022, chenye anwani: "Mapinduzi kutoka Tunisia... Changamoto na Matarajio" katika makao yake makuu huko Ariana.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa mkutano na waandishi wa habari kwa anwani "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni; Ustadh Hakki Eran,
Uingereza inashuhudia kupanda kwa kasi kwa gharama ya bidhaa za kila siku, na kusababisha ugumu mkubwa zaidi kwa maskini na wanaoishi katika mazingira magumu.