Wale Wanao Halalisha (Mahusiano) na Umbile la Kiyahudi Watapata Fedheha Katika Maisha Haya ya Duniani na Adhabu Kali Akhera
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tangazo la uamuzi wa kubadilishana uteuzi wa mabalozi lilichukuliwa kama moja ya hatua za mchakato wa kuhalalisha mahusiano unaoendelea kati ya Uturuki na umbile nyakuzi la Kiyahudi tangu mwaka jana. Wakati Waziri Cavusoglu aliposema: "Kama Uturuki, tumeamua kumteua balozi huko Tel Aviv.



