Pongezi Kutoka kwa Hizb ut Tahrir kwa Idd Al-Adha Al-Mubarak
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki tunawapongeza kwa dhati Waislamu katika nchi zote za Waislamu, na ndugu na dada zetu Waislamu nchini Uturuki haswa, kwa mnasaba wa Idd al-Adha Al-Mubarak, na tunamshukuru Mwenyezi Mungu (swt) ambaye ametufanya tuishuhudia Idd hii.
Kama kawaida, Mahouthi bado wangali wanawazuia Mashababu watatu wa Hizb ut Tahrir - wabebaji ulinganizi wa kusimamisha Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume, ambao ni Shaif Al-Shradi, Muhsin Al-Jaadaby na Ayub Al-Shradi,
Vikosi vya serikali vimeanzisha tena upya umwagaji wao wa mabomu viunga vya Hama na Idlib, Syria.
Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, alishuhudia onyesho la mitindo kwa wanawake kwa mara ya pili na mwanamitindo Nermin Qarqafi, lililohudhuriwa na kundi la vyombo vya habari, sanaa na watu maarufu wa jamii.
Harakati ya Hizb ut-Tahrir Kenya imezindua rasmi kampeni ya kiuchumi itakayodumu kwa mwezi mmoja. Kampeni hii itaanza tarehe mosi ya mwezi mtukufu wa DhulHijja 1442 Hijria sawasawa na tarehe 11 Julai 2021 na kutamatika Agosti 11.
Mnamo siku ya Jumanne, 07/06/2021, Ethiopia iliiarifu Sudan juu ya kutekeleza ujazo wa pili wa ziwa la Bwawa la An-Nahdha, kwa kiasi cha mita za ujazo bilioni 13.5 za maji, ambayo inasababisha uharibifu wa huduma muhimu za Khartoum na maisha ya wakaazi milioni 20, kwa mujibu wa taarifa rasmi.
Wajumbe wa nchi za Troika, na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, walimaliza mazungumzo na mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Watu-Kaskazini (SPLM-N) Abdelaziz El-Hilu, katika ngome ya uongozi wa harakati hiyo.
Kama sehemu ya kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb ut Tahrir kutaka kuachiliwa huru kwa Naveed Butt, msemaji wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, ambaye alitekwa nyara na wakala wa ujasusi wa Pakistan mnamo tarehe 11 Mei 2012 na tangu wakati huo ametoweka na haijulikani alipo,