Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki: Kongamano la Khilafah, “Kuanzia katika Familia hadi Dola – Ujenzi wa Mujitama wa Kiislamu”
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Khilafah 1441 H - 2020 M, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanya kongamano ndani ya Istanbul kwa kichwa, “Kuanzia katika Familia hadi Dola – Ujenzi wa Mujitama wa Kiislamu.”