Msikiti wa Al-Aqsa: Amali za Ijumaa – Ramadhan Tukufu 1443 H
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Warithi wa Kitabu Wao ndio Watakaosimamisha Khilafah!] Kwa Fadhila za Sheikh Said Al-Karami (Abu Abdul Rahman
Warithi wa Kitabu Wao ndio Watakaosimamisha Khilafah!] Kwa Fadhila za Sheikh Said Al-Karami (Abu Abdul Rahman
Mauaji kwa Mauaji, na leo mauaji ya kutisha huko Maarat al-Nasan.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaendesha kampeni ya mitandao ya kijamii katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kamati maalumu za kutafuta mwandamo wa mwezi zilizoundwa na Hizb ut Tahrir Malaysia ziliutafuta mwezi mwandamo wa Ramadhan uliobarikiwa wa mwaka huu 1443 H - 2022 M katika zaidi ya maeneo kumi tofauti kote nchini Malaysia.
Mnamo tarehe 15 Machi 2022, Mahakama Kuu ya Shirikisho ya jimbo la India la Karnataka ilitoa uamuzi, kwamba maagizo ya sare za shule ya mamlaka za vyuo (ambazo hazikuruhusu uvaaji wa Hijab/Khimar),
Matukio ya halaiki yaliyofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo kwa ajili ya kuadhimisha miaka 101 ya kuangamizwa kwa Dola ya Khilafah, ili kuhuisha Umma wa Kiislamu ili stenyn motisha yao ya kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida.
Katika mkusanyiko mkubwa wa taadhima uliofanywa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina mnamo siku ya Jumatano, Machi 23, 2022, watu wa Palestina walitangaza kukataa kata kata Sheria ya Ulinzi wa Familia inayotokana na CEDAW, ambayo Mamlaka ya Palestina inakusudia kuiidhinisha.
Kwa kuzingatia mabishano yanayoendelea kati ya vyama mbalimbali vya kisiasa nchini, kuhusu umbile la mfumo wa kisiasa nchini Tunisia na katiba inayoudhibiti,