Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 61 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 61 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 61 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika maeneo na mikoa tofauti tofauti ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na suluhu zake zinazohusiana na mifumo tofauti tofauti ya maisha, ambazo zinashughulikia mapigano na migogoro ya kikabila inayoendelea katika maeneo mbalimbali nchini...
Chaneli ya Kiislamu ya Oasis yaandaa majadiliano pamoja na Dkt. Nazreen Nawaz na Adnan Khan kuhusu siasa za kweli nyuma ya maandamano ya kupinga hijab nchini Iran.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa msururu wa visimamo vya kupinga sera ya kuiuza Tunisia kwa mfuko wa fedha wa kimataifa wa kikoloni!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kisimamo katika mji wa Kayrawan kwa anwani “Damu ya Mashahidi Wetu Itawaandama Walowezi Walioachwa na Ufaransa, na Watu kamwe Hawatasahau.”
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Atarib viungani mwa Aleppo
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).