Jumapili, 17 Rabi' al-awwal 1443 | 2021/10/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Msimamo wa Hizb ut Tahrir wa Kuelezea Upuuzi wa Usekula Unaouhofisha Ukoloni na Wafuasi Wake

Mnamo siku ya Ijumaa, 15 Oktoba 2021, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa visimamo baada ya swala ya Ijumaa katika mji mkuu wa Tunisia na miji ya Kairouan na Sfax; kuzungumzia upuuzi wa usekula na njia ya kisiasa inayovuruga nchi, kukiwa hakuna tofauti kati ya njia ya kabla na baada ya taratibu za Julai 25.

Soma zaidi...

Katika Maadhimisho ya Miaka Kumi ya Mapinduzi, Mamlaka Inatenda Ujambazi!

Kama kawaida, katika kufuatilia harakati za Hizb ut-Tahrir na kuzuia amali zake, tangu asubuhi ya Alhamisi, 17 Disemba 2020 M, vyombo vya usalama mjini Sidi Bouzid zimefuatilia makao makuu ya  Hizb na kufuatilia nyendo za mashababu kupitia mawakala waliovaa nguo za raia na wakaifanya kuwa shughuli yao iliyo washughulisha mno ya kuikabili Hizb na kuidhibiti.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu