Jumapili, 12 Sha'aban 1441 | 2020/04/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wanawake Waislamu Hawahitaji Sherehe za Kila Mwaka za Kufeli Kiulimwengu katika Kusuluhisha Matatizo ya Wanawake. Tunahitaji Khilafah itakayokuwa Mlinzi na Ngao Yetu

Kauli mbiu ya mwaka 2020 ilikuwa ‘Usawa kwa Kila Mmoja’ ambayo ililingania kwa utendaji wa pamoja ili kufikia usawa wa kijinsia ndani ya serikali, sehemu za kazi, michezo na kuangaziwa na vyombo vya habari pamoja na sekta nyingine ndani ya dola.

Soma zaidi...

Wavamizi Wamuua mtu katika ardhi yake, damu ikilowanisha ardhi Vipi Kuhusiana na maisha yake juu ya watawala wa Waislamu?

KHAN YOUNIS - GAZA: Mohammed Al-Naem alipigwa risasi na kufa mnamo Jumaapili na jeshi la Israeli, ambalo lilimshitaki kwa kutega bomu karibu na mpaka wa uzio wa mashariki ya Khan Younis yenye kuzingirwa na Mpaka wa Gaza. Familia ya Mohammed ilikanusha hili kwa kusema kwamba uwepo wake karibu na uzio ulikuwa wa amani.

Soma zaidi...

Mpango wa Khalilzad sio Kuleta Amani bali ni Kuisalimisha Taliban!

Mnamo 3 Februari 2020, katika kipindi cha mkutano uliofanyika na waandishi wa habari nchini Uzbekistan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Amerika Mike Pompeo alitaka “athibitishiwe ushahidi” kutoka kwa Taliban kwamba itapunguza matukio ya uhalifu ndani ya Afghanistan kabla ya kutia saini makubaliano ambayo yatapelekea mazungumzo ya amani na kuondoa vikosi vya kijeshi vya Amerika kutoka Afghanistan.

Soma zaidi...

Waislamu Warohingya wanaingia Mwaka Mpya wakiwa na hofu kwa kukosekana Khilafah

BBC iliripoti kuhusiana na kupambamoto kwa janga la Rohingya huku idadi ya wanaotarajiwa kushtakiwa dhidi ya serikali ya Myanmar ikiwasilishwa katika mahakama za kimataifa na Venezuela na Gambia. Habari iliyotoka mnamo 19 Novemba 2019 inaelezea hadithi kwamba kijana wa miaka 11 anayeitwa Omar anayeishi pasina familia yoyote katika kambi ya wakimbizi ya Cox Bazaar ndani ya Bangladesh.

Soma zaidi...

Kongamano baina ya Afrika na Urusi: Viongozi wa Kiafrika Wanaiuza Afrika kwa Madalali wa Kirasilimali

Viongozi wa Serikali zaidi ya 40 wa nchi za Afrika walihudhuria Kongamano la kwanza baina ya Afrika na Urusi katika mji wa Sochi. Kongamano hilo la siku mbili 24 na 25 Oktoba 2019 liliandaliwa kwa pamoja na Rais Vladmin Putin na mwenzake rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi uliangazia zaidi masuala ya kibiashara baina ya Urusi na Afrika likiwemo pia suala la usalama. Kwenye mahojiano ya awali na shirika la habari la serikali la TASS siku ya Jumatatu, 21 Oktoba 2019, rais Putin alisema: “Mkutano huu wa siku mbili ni hatua ya kufufua tena mahusiano yake ya vita baridi ampapo mataifa ya Kiafrika yalijiunga na utawala wa Moscow kwenye vita vya kimfumo na Marekani hii ni kabla ya kusambaratika kwa muungano wa kisovieti ni tukio la kipekee na hatua msingi”

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu