Alhamisi, 21 Rabi' al-awwal 1443 | 2021/10/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Raisi Japarov wa Kyrgyzstan Kamwe Hataweza Kusitisha Wimbi la Dawah Kupitia Kuwakamata Walinganizi Wake wa Kike

Kwa mujibu wa huduma ya habari ya Idara Kuu ya Mambo ya Ndani ya jimbo la Chuy, mwanaharakati mmoja katika Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir, mzaliwa wa mkoa wa Jalal Abad, katika wilaya ya Alamüdün ya jimbo la Chuy, alikamatwa.

Soma zaidi...

Mauaji ya Kuogofya ya Familia Moja ya Kiislamu jijini Ontario, Canada, Mizizi Yake ni Hofu ya Uislamu Isababishwayo na Hotuba za Kisiasa na Sera za Kisekula za Dola za Kimagharibi

Mnamo Siku ya Jumapili tarehe 6 Juni, familia moja ya Kiislamu jijini London, Ontario, Canada iliuawa katika shambulizi la kuogofya la kigaidi na dereva ambaye aliwakanyaga kwa makusudi ndani ya lori,

Soma zaidi...

Enyi Majeshi ya Waislamu! Uhangaishwaji wa Watoto wa Kipalestina na Umbile la Kiyahudi Hautakoma Isipokuwa kwa Kwenda Kwenu Kuung'oa Uvamizi Huu Katili kwa Mizizi Yake!

Kulingana na wanaharakati na mawakili wa Palestina, umbile vamizi la Kiyahudi limeimarisha ulengaji wao wa watoto wa Kipalestina kwa ajili ya kuwakamata kwa wiki chache zilizopita kama sehemu ya "Operesheni Sheria na Utangamano", ambao wengi wao wamepigwa kinyama na kuteswa kisaikolojia.

Soma zaidi...

Miaka 100 ya Kiza, Utovu wa Heshima na Kukata Tamaa kwa Mwanamke wa Kiislamu kwa Kukosekana kwa Ngao na Mlinzi wake – Khilafah

Rajab hii inaashiria hatua nyingine mbaya katika historia ya Umma wa Kiislamu - miaka 100 katika kalenda ya Hijria tangu kuvunjwa kwa dola yake tukufu na uongozi wa Kiislamu: Khilafah mikononi mwa adui wa Uislamu, Mustafa Kemal, na serikali za kikoloni za Kimagharibi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu