Hizb ut Tahrir/ Tanzania Yafanya Dua na Kisimamo Kutaka Ummah Usiitelekeza Gaza
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Jana Ijumaa, tarehe 26 Septemba 2025 M / 04 Rabi' al-Akhir 1447 H baada ya swala ya Ijumaa Hizb ut Tahrir / Tanzania iliandaa kampeni ya nchi nzima kukumbusha Majeshi ya Ulimwengu wa Kiislamu, Wanazuoni wa Kiislamu na Ummah kwa jumla juu ya wajibu wao wa kuiokoa Gaza na kutoitelekeza.