Alhamisi, 21 Rabi' al-awwal 1443 | 2021/10/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Sera ya Vyombo vya Habari ya Khilafah Pekee Ndio Inayohakikisha Uwajibikaji Huku Vyombo vya Habari Vikiwa ni Ala Yenye Nguvu ya Kubeba Ukweli wa Uislamu Ulimwenguni

Wanahabari, vyombo vya habari, mawakili, vyama vya upinzani na mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Pakistan wanapambana na Mswada wa Maendeleo ya Vyombo vya Habari wa Pakistan, wakiulaani kama jaribio la kuvinyonga vyombo vya habari.

Soma zaidi...

Kufa Shahidi kwa Syed Ali Gilani Kunahitaji kwamba Takbir ya Ushindi na Bendera ya Kalima Zipazwe katika Kashmir Iliyokaliwa, baada ya Kukombolewa Kwake na Jeshi la Pakistan kwa Jihad Iliyobarikiwa.

Kwa nyoyo nzito, Waislamu nchini Pakistan na Kashmir Iliyokaliwa walisikia habari za kuuawa shahidi kwa Syed Ali Gilani, huko Srinagar, mnamo Jumatano tarehe 1 Septemba 2021, saa 10.30 jioni.

Soma zaidi...

Watawala wa Pakistan Wanaishawishi Taliban ya Afghanistan katika Mtego wa Uhalali wa Kimataifa, Licha ya Kuwa Umeiumiza Pakistan Kisiasa na Kiuchumi

Mnamo 23 Agosti 2021, Mrengo wa Uenezi wa Nje wa Pakistan ulituma ujumbe wa tweet wa taarifa moja kutoka kwa Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Pakistan, Moeed Yusuf, ikisema, "Tumeweka wazi kabisa kuwa tuko pamoja na jamii ya kimataifa mahali inapokwenda."

Soma zaidi...

Utegemezi wa Watawala wa Pakistan juu ya Dola za Wakoloni, Haswa Amerika, ndicho Kikwazo kwa Utawala wa Uislamu wa Kieneo na Kiulimwenguni.

Wapiganaji elfu chache, wenye silaha duni, wa upinzaji wa Afghanistan sasa wamewekwa nje kidogo ya Kabul, wakiwa tayari kukizika kiburi cha dola ya tatu ya wakoloni katika makaburi ya himaya, chini ya ardhi iliyomwagiliwa na damu safi ya majeshi ya mashahidi,

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu