Nguo ambazo zina Marashi (Cologne) ni Najisi na Hazifai Kuswalia
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni ipi hukmu ya kuswali na nguo zilizoyunyiziwa marashi yenye pombe? Mwenyezi Mungu akulipe kheri.
Ni ipi hukmu ya kuswali na nguo zilizoyunyiziwa marashi yenye pombe? Mwenyezi Mungu akulipe kheri.
Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh Sheikh Wetu, Mwenyezi Mungu akufungulie mikononi mwako, akubali utiifu wako, na atuharakishie nusra na tamkini.
Mmoja katika ndugu aliniaibisha kwa swali ambalo nadhani yuko sahihi kwalo, licha ya jaribio langu la kuielezea hali tunayoishi ndani yake, lakini bado angali hajakinaika.
Ningependa kuuliza kuhusu tabarruj. Tunaifafanua vipi na tunaitumia vipi? Ninavyojua ni kuwa tabarruj yamaanisha kuonyesha mapambo mbele ya mwanamume wa kando kisha kumvutia kutazama hayo mapambo au hata kututazama sisi.
Nataka muongozo kutoka kwako, kwani nimechanganyikiwa, sijielewi mimi ni nani, nakuomba kwa jina la Mwenyezi Mungu nifanye nini?
Kwa wale walio na maswali kuhusu Jibu la Swali: Athari za Virusi vya Korona. Haya haya ndio majibu ya maswali yenu:
Sheria yawamwajibisha mwajiri kujifunga na sheria zinazo husiana na wafanyikazi na haki zao, lakini mwajiri anakwepa kutii sheria hiyo.
China ilitangaza kwa mara ya kwanza mnamo 4/12020, hususan jijini Wuhan, kuwa watu kadhaa waliambukizwa na maradhi ya virusi vya Korona, yaliopewa lakabu ya COVID-19, kisha yakaenea takriban katika nchi zote za ulimwengu, na nchi nyingi zikalazimisha kufungwa kwa mipaka na marufuku ya kutoka nje usiku, na kisha zikasitisha swala za Ijumaa na jamaa.
Mwenyezi Mungu akubariki na atunufaishe kwa elimu yako. Kwa upole sheikh wetu nina maswali mawili: La kwanza: Ni ipi dalili ambayo katika waqf, inatakikana kwa mtu anayeweka Waqf awe ndiye mmiliki wa kitu chenyewe kinacho wekwa waqf?
Lakini kwa kukosekana Khilafah, biladi zote za Waislamu zinatawaliwa na viongozi Matwaghut? Kwa hivyo, ikiwa tunahitaji kutatua mzozo wowote, twaweza kwenda katika mahakama za viongozi hao Matwaghut? Lau, mmoja katika wanafamilia yangu atabakwa, je, inajuzu kwenda kutafuta hukmu mahakamani ambako hukmu itafanywa kupitia Taghut ya kidemokrasia? Hawahukumu kwa shariah