Jumatano, 02 Rajab 1441 | 2020/02/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Katika Urasilimali Vita Dhidi ya Ufisadi ni Mwito Mtupu

Ripoti ya hivi karibuni ya ukaguzi nchini Tanzania imefichua zaidi kwamba katika mfumo wa kirasilimali unaojifunga na kipimo cha maslahi, kadhia ya kupambana na ufisadi inasalia kuwa maneno matupu bila ya uhalisia wowote hata ingawa baadhi ya watu ndani ya nidhamu hii wanadai kuwa makini katika kupambana nao. Uhalisia ni kuwa huwezi kusafisha uchafu ikiwa wewe mwenyewe umo ndani yake.

Soma zaidi...

Ardhi Tukufu ya Palestina Itakombolewa na Majeshi ya Mujahidina katika Njia ya Mwenyezi Mungu Sio kwa Baraza la Usalama na Kufedheheshwa na Wakoloni

Tumekusanyika leo kutamka kwa sauti kubwa na kwa uwazi mbele ya nyuso za wakandamizaji, madikteta na wakoloni, kwamba Palestina ni ardhi halisi ya Kiislamu, ni yetu na wala si ya yeyote mwingine, na kwamba Mpango wa Trump na mikakati yote ya usaliti na kujisalimisha na makubaliano ya kiudhalilishaji na ya aibu yapo chini ya miguu ya Waumini na Mujahidina kwa kutaka Radhi za Mwenyezi Mungu (swt).

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Ardhi ya Baraka – Palestina AQSA INAKULILIENI, ENYI MAAFISA KUTOKA JAKARTA HADI RABAT!!!

Tumekusanyika leo kusema LA kwa mpango wa Trump, LA kwa suluhisho la serikali mbili, LA kwa miradi yote ya kujisalimisha, mazungumzo, na usaliti, na NDIO kwa kishindo cha ndege na tetemeko la ardhi la vifaru, NDIO ... tunataka chuma kishambulie chuma, tunataka askari kama wanajeshi wa Salahudin.

Soma zaidi...

Dhoruba Inayokuja: Kutoka kwa Uingereza Katika EU

Uingereza imetoka rasmi katika Muungano wa Ulaya katika siku ya mwisho ya Januari lakini utokaji umezusha changamoto nyingine nyingi, ambazo zitaharakisha kuvunjika kwa Umoja wa Ulaya. Kwa sasa kuna kipindi cha mpito ambapo Uingereza na EU zitakuwa zikijadiliana mipangilio ya ziada, hata hivyo, masuala kadhaa yanajitokeza kuhusiana na mpango mpya wa biashara baina ya Uingereza na EU.

Soma zaidi...

Siasa za Chuki na Migawanyiko ni Dalili Tosha ya Kufilisika Kifikra kwa Siasa ya Demokrasia na Wafuasi Wake

Hatimaye, rais Uhuru Kenyatta ameapishwa kuhudumu kwa muhula wa pili kwenye sherehe iliohudhuriwa na viongozi wa mataifa mbalimbali na kususiwa na wanasiasa wa upinzani. Hafla hii imekuja huku nchi ikighubikwa na migawanyiko ya kikabila, semi za chuki na umwagikaji wa damu.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu