DVD ya Gazeti la Al-Rayah Sehemu ya 7 (Toleo 471 – 570)
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya yenye kichwa: Gazeti la Al-Rayah Sehemu ya 7 (Matoleo 471-570)



