Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Watu wa Viungani mwa Aleppo Kaskazini cha Kuinusuru Daraa (Tafas)

Kisimamo cha watu wa viungani mwa Aleppo kaskazini katika mji wa Soran kuinusuru Daraa (Tafas) na kuthibitisha mwendelezo wa mapinduzi na udhaifu wa serikali ya kihalifu.

Alhamisi, 15 Jumada II 1442 H, sawia na 28 Januari 2021 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu