Jumapili, 17 Rabi' al-awwal 1443 | 2021/10/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

UPDATED Al-Waqiyah TV Program: On the Air with Ahmed al-Qasas ENGLISH Subtitled

Kipindi cha Al-Waqiyah TV: Hewani na Ahmad al-Qasas

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari chaneli yake mpya ya Runinga, Al-Waqiyah, kipindi kipya kwa jina "Hewani na Ahmad al-Qasas" ambapo Sheikh Ahmad al-Qasas atakichambua kitabu, Nidhamu ya Uislamu. Kuwa pamoja nasi.

Tunafuraha kutangaza kuwa silsila hii sasa itajumuisha tafsiri ya Kiingereza. Kuwa pamoja nasi kwa vipindi vipya.

UTANGULIZI

Na Sheikh Ahmad al-Qasas

Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu - Kipindi 01 (Mpya)

Hitajio la Mwanadamu la Aqeedah (Itikadi)

(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)

Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 02 (Mpya)

Mizani za Aqeeda

(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)

Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 03 (Mpya)

Njia ya Imani - Kuthibitisha Uwepo wa Mwenyezi Mungu

(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)

Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 04 (Mpya)

Njia ya Imani - Je, Hisia Pekee Zatosha katika Kumwamini Mwenyezi Mungu?

(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)

Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 05 (Mpya)

Njia ya Imani - Kushindwa kwa Akili Kudiriki Dhati ya Mwenyezi Mungu

(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)

Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 06 (Mpya)

Njia ya Imani – Hitajio la Mwanadamu la Ujumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu

(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu