Ijumaa, 14 Rajab 1442 | 2021/02/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na kwa mnasaba huu Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za afisi kuu ya habari, silsila mpya ya video kutoka vipindi vya Al-Waqiah TV kwa anwani: "Katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Miji 100 Inatamka Neno Lake!" Nayo ni ibara kutoka katika kalima za kaka zenu na dada zetu kutoka maeneo tofauti tofauti kote ulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah). Basi kuweni pamoja nasi ...

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Nchi za Waislamu ni Uwanja wa Mapambano ya Mkoloni Kafiri -

Mhandisi Abdullatif As-Shatti / Wilayah Kuwait

- Je, Haijatutosha Miaka 100 Bila ya Khilafah?! -

Ustadh Rola Ibrahim / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumapili, 02 Rajab 1442 H sawia na 14 Februari 2021 M

- Khilafah iliangushwa ... Na Masaibu Yakatawala juu ya Ummah -

Ustadh Sam Mohabbat / Denmark

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatatu, 03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

- Mafundo ya Uislamu Yamefunguliwa kwa Kukosekana Khilafah iliangushwa -

Ustadh Yasmine Malek / Uholanzi

- Miaka 100 Bila ya Khilafah -

Dkt Ibrahim Al-Tamimi / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumanne, 04 Rajab 1442 H sawia na 16 Februari 2021 M

- Kuanguka kwa Khilafah na Matokeo Yake -

Umar Husain / Malaysia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Alhamisi, 06 Rajab 1442 H sawia na 18 Februari 2021 M

- Kwa Kuanguka Khilafah, Ukafiri Umeweza Kutawala Ulimwengu -

Ustadh Burhan Samman / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

- Tulikuwa Wapi na Tumefikia Wapi Baada ya Kuanguka Khilafah?! -

Ustadh Syed Saeb / Sweden

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

- Kuanguka Khilafah na Matokeo Yake -

Fareez Au Aidan / Malaysia

- Isimamisheni Enyi Waislamu -

Dkt Asaad Aloujeili / Wilayah Tunisia

- Hujma Kali kutoka Magharibi na Wasaidizi Wake juu ya Uislamu na Matukufu Yake -

Dkt Muhammad Afeef Shadeed / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

- Kuanguka kwa Khilafah na Athari Zake -

Dkt Abdel Rafe / Amerika

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumamosi, 08 Rajab 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

- Litambueni Chimbuko la Izza Yenu, Enyi Waislamu -

Sheikh Ahmad Hajj Ahmad / Wilayah Syria

- Ummah wa Kiislamu na Kufanya Kazi kwa Ajili ya Khilafah -

Ustadh Umar Saad / Denmark

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumapili, 09 Rajab 1442 H sawia na 21 Februari 2021 M

- Enyi Waislamu... Hakika Khilafah ni Kadhia ya Uhai au Kifo -

Yousef Arsalan / Wilayah Afghanistan

- Mamlaka ya Ummah Yaliyoporwa -

Mhandisi Osama Thuwayni / Wilayah Kuwait

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatatu, 10 Rajab 1442 H sawia na 22 Februari 2021 M

- Wito kwa Ummah wa Kuyarudisha Mamlaka Yake Yaliyoporwa -

Dorra Bakoush / Wilayah Tunisia

- Ujumbe kwa Wanachuoni, Wanajeshi na Vijana; Khilafah ni Taji la Faradhi Zote -

Abu Amr / Malaysia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumanne, 11 Rajab 1442 H sawia na 23 Februari 2021 M

- Hadi Lini Enyi Waislamu? -

Abu Islam / Sweden

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatano, 12 Rajab 1442 H sawia na 24 Februari 2021 M

- Ujumbe kwa Vijana! -

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Iraq

- Kuirudisha Khilafah Tuliyoipoteza! -

Ahmad Aman / Amerika

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Alhamisi, 13 Rajab 1442 H sawia na 25 Februari 2021 M

- Wito kwa Wanachuoni, Watoto wa Kiume na wa Kike wa Umma, Warudishe Utawala wa Uislamu! -

Maryam Nur / Wilayah Uturuki

- Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! -

Sheikh Ibrahim Uthman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu