Ijumaa, 14 Rajab 1442 | 2021/02/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah ya Uturuki: Amali za Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amiri wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa, Ata bin Khalil Abu al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni mnasaba wa karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki ndani ya wigo wa Kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

 

Semina kwa anwani "Je! Ummah Ulipata Hasara Gani kwa Kusitishwa Khilafah?"

 - Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuondolewa Khilafah Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanya semina kupitia mtandaoni kwa anwani: "Je! Ummah Ulipata Hasara Gani kwa Kusitishwa Khilafah?", Na wahadhiri walikuwa ni:

- Muhammad Amin Yildirim / Ulinganisho kati ya Historia ya Khilafah na Ulimwengu wa Magharibi.

- Khluk Uzdogan / Ni kitu gani muhimu zaidi tulichokipoteza kwa kusitishwa Khilafah?

- Abd al-Rahim Shin / Je! Kuondolewa kwa Khilafah kuliathiri vipi wanachuoni na wanafikra?

- Ercan Tekenbach / Je! Kuanguka kwa Khilafah kulipokewaje katika ulimwengu wa Magharibi?

Jumamosi, 01 Rajab Muharram 1442 Hijria sawia na 13 Februari 2021 M

 

- Semina kwa Anwani "Kusimamisha Khilafah ni Kadhia Nyeti Inayonahitaji Kuchukua Hatua ya Uhai au kifo!" -

 

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki Semina ya pili ya Mtandaoni kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah kwa anwani "Kusimamisha Khilafah ni Kadhia Nyeti Inayonahitaji Kuchukua Hatua ya Uhai au kifo!", ambayo alihadhiriwa na:

Musa Beyoglu: Kwa nini kuishi chini ya Khilafah ni uhai kwa Waislamu?

Ahmed Gilkan: Umuhimu wa Khilafah kwa Waislamu!

Sardar Yilmaz: Kwa nini Ummah Kusimamisha Khilafah Huzingatiwa kuwa ni Kadhia Nyeti Inayohitaji Kuchukua Hatua ya Uhai au kifo?

Yilmaz ilek: Nafasi ya Katika kazi ya Vikundi na Vyama!

Aydin Osalp: "Sheikh Saeed Biran al-Kurdi" na Mapinduzi Yake dhidi ya Kuvunjwa kwa Khilafah!

Jumamosi, 08 Rajab Muharram 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

Ujasusi wa Erdogan Wawakamata Kina Dada Wanne kwa Kutaka Kwao Kusimamishwa Khilafah kutoka Ngome ya Amuriyah!

Kutokana na athari ya video, ambayo ilienezwa kwenye mitandao, kina dada wanne, na pamoja nao mwanamke wa miaka 16 kutoka juu ya ngome ya Amuriyah nchini Uturuki, ambapo walinyanyua bendera ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), na kuutaka Umma wa Kiislamu kwa maneno mafupi kuhamasika kusimamisha tena Khilafah, vibaraka wa Erdogan na ujasusi wake walizingira nyumba za Dada hao mnamo Jumanne asubuhi, 02/23/2021, na kuwakamata dada hao wanne, msichana mmoja mwenye umri wa miaka 16 na mtoto mchanga, na bado wangali mikononi mwa madhalimu hao... Na sisi pia tunapaza sauti yetu juu, "Sote tunataka kusimamishwa tena kwa Khilafah Rashida."

Shairi Lenye Kichwa: Je, Haijatutosha Miaka Mia!

1342 H - 1442 H

Na mshairi: Sardar Yilmaz

Msomaji: Mahmoud Kar

Jumamosi, 08 Rajab Muharram 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

Wito wa Khilafah katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Unapasuka kutoka kwenye kaburi la mpiganaji Ertugrul, Mwenyezi Mungu amrehemu, huko Bilecik

Jumapili, 09 Rajab Muharram 1442 H sawia na 21 Februari 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

 

 

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurusa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Koklu Degisim

- Video -

- Ajizi ya Mipango na Nidhamu za Kisiasa! -

Ustadh Yusef Yauzkan / Wilayah Uturuki

[Miji 100 Inatamka Neno Lake!]

Chennai - Bilecik - Saadnayel

Jumanne, 04 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 16 Februari 2021 M

 [Miji 100 Inatamka Neno Lake!]

Islamabad - Amuriyyah - Khartoum Bahri

Ijumaa, 07 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

 
 
 
Mkusanyiko wa Picha

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu