Ijumaa, 14 Rajab 1442 | 2021/02/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Malaysia: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Malaysia ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Semina kwa Anwani "Miaka 100 Imepita Tangu Kuvunjwa kwa Khilafah, Basi Tuisimamisheni Upya!" -

Hizb ut-Tahrir / Malaysia ilifanya semina ya mtandaoni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuondolewa Khilafah kwa anwani "Miaka 100 Imepita Tangu Kuvunjwa kwa Khilafah, Basi Tuisimamisheni Upya!", ambayo ndugu wawili Abdul Hakim Othman na Omar Hussain walihadhiri.

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Malaysia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Ukurasa wa Face wa Hizb ut Tahrir / Malaysia

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Akaunti ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu