Swala Zimesimamishwa jijini Dushanbe kwa sababu ya Ziara ya Putin
Jumamosi, 19 Rabi' II 1447 - 11 Oktoba 2025
Kuanzia Oktoba 7 hadi 12, misikiti kadhaa jijini Dushanbe itasimamisha kwa muda swala za jamaa. Kulingana na Idara ya Mambo ya Ndani ya jiji hilo, vikwazo hivyo vinatekelezwa “kuhusiana na matukio muhimu yanayotokea katika jiji hilo,” akimaanisha ziara rasmi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin.
DVD “Nasheed za Khilafah 1447 H - 2025 M”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa…
Ulaya Inaendelea Kuunga Mkono Mauaji ya Halaiki mjini Gaza
Licha ya kauli mbiu tupu kuhusu kuitambua dola ya Palestina, Ulaya inaendelea kusafirisha silaha kwa…
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Yatoa Hotuba ya Hadhara…
Kama sehemu ya kampeni yake ya kutibua mpango wa kuigawanya Sudan kwa kutenganisha Darfur, Hizb…
Al-Waqiyah TV: Trump ndiye Muungaji Mkono Mkuu wa Umbile la…
Al-Waqiyah TV: Trump ndiye Muungaji Mkono Mkuu wa Umbile la Kiyahudi katika Uhalifu wake wa…
Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 568
Vichwa Vikuu vya Toleo 568