Wanawake wa Sumatra: Sio Tu Wahanga wa Mafuriko
Alhamisi, 5 Rajab 1447 - 25 Disemba 2025
Maafa ya mafuriko katika kisiwa cha Sumatra yamesababisha vifo vya watu 1,071 kufikia 19 Disemba kulingana na Abdul Muhari, Mkuu wa Kituo cha Data, Taarifa, na Mawasiliano ya Maafa katika Shirika la Kitaifa la Usimamizi wa Majanga la Indonesia (BNPB). Katika majanga, wanawake na watoto mara nyingi huwa waathiriwa mara mbili kutokana na udhaifu wa kimuundo, ikiwemo kupuuzwa kwa mahitaji ya afya ya uzazi ya wanawake. Taasisi ya Msaada wa Kisheria ya Banda Aceh (LBH) imesisitiza kwamba katika kila janga, wanawake ndio kundi linaloathiriwa zaidi lakini lisiloonekana sana—mpangilio ambao umethibitishwa tena katika mgogoro wa sasa.
Utawala wa Uovu na Ghasia Utadumu kwa Muda Apendao Mwenyezi…
Muhula wa bunge ulitarajiwa kuisha Novemba 2026, lakini rais alivunja bunge baada ya wabunge wanaounga…
Tishio la Kupiga Marufuku Hizb ut Tahrir nchini Australia
Kabla ya waathiriwa wa janga la Bondi hata kuzikwa, watetezi wanaounga mkono Uzayuni katika nchi…
Dola ya Kitaifa ndiyo Kikwazo Kikubwa Zaidi katika Kulinda Heshima…
Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Waziri Mkuu Ishaq Dar alilaani vikali tukio ambapo…
Ukandamizaji Unaoongezeka wa Marekani dhidi ya Mashirika ya Kiislamu -…
Katika hatua ya kushangaza wiki hii, Gavana wa Texas Greg Abbott alitangaza Baraza la Mahusiano…
Kifo cha Imam Fouad Saeed Abdulkadir: Pindi Hifadhi Inapogeuka Kuwa…
Idara ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) imethibitisha kifo cha Fouad Saeed Abdulkadir, raia…




