Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 10 Rabi' I 1447 | Na: HTS 1447 / 23 |
M. Jumanne, 02 Septemba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kikao cha Kadhia za Umma
(Imetafsiriwa)
Sisi katika Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan, tunafuraha kuwaalika ndugu zetu wanahabari, wanasiasa, na wale wenye hamu na mambo ya umma kuhudhuria na kushiriki katika kikao cha kila mwezi cha kadhia za Umma, ambapo mwezi huu kichwa chake ni:
Mpango wa Amerika wa Kuitenganisha Darfur... Na Jinsi ya Kuutibua
Wazungumzaji kwenye kikao:
1- Ustadh Nassir Ridha – Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Sudan Wilayah
2- Ustadh Muhammad Jami' (Abu Ayman) – Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Sudan Wilayah
3- Afisa wa Kikao: Ustadh Ibrahim Musharraf, Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan.
Tarehe: 14 Rabi' al-Awwal 1447 H sawia na 07/09/2025 M
Wakati: 1:00 Adhuhuri
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, Port Sudan – Wilayah ya Al-Azma – Mashariki mwa Uga wa Port Sudan
Uwepo na ushiriki wenu ni heshima kwetu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb Ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |