Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  25 Safar 1447 Na: HTS 1447 / 16
M.  Jumanne, 19 Agosti 2025

Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa
(Imetafsiriwa)

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan inafuraha kuwaalika ndugu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wote wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kikao kipya cha Kisiasa, ambapo Ustadh Hatim Jaafar, mwanasheria - mjumbe wa Baraza la Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan, atakuwa mgeni, chenye kichwa:

Mkataba wa Abrahim ni Usaliti kwa Ummah na Kulipa nguvu kwa Umbile la Kiyahudi

Kikao hicho kitasimamiwa na Ustadh Muhammad Jamei (Abu Ayman), Msaidizi wa Msemaji wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan.

Wakati: Jumamosi, 29 Safar Al-Khair 1447 H sawia na 23 Agosti 2025 M, saa 1 Adhuhuri, Insha’Allah.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan mjini Port Sudan – mtaa wa Al-Azmah.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.