Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  28 Muharram 1447 Na: HTS 1447 / 06
M.  Alhamisi, 24 Julai 2025

Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa
(Imetafsiriwa)

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan inafuraha kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wote walio na hamu na masuala ya Umma kuhudhuria na kushiriki katika kikao kipya cha kisiasa, ambacho kitamwalika Ustadh Muhammad Jami' (Abu Ayman), Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan, chini ya kichwa:

“Mpango wa Mipaka ya Damu na Uhalifu wa Kujitenga kwa Darfur”

Kikao hicho kitaendeshwa na Ustadh Ya’qub Ibrahim, mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

Wakati: Jumamosi, 1 Safar al-Khair 1447 H, sawia na 26 Julai 2025 M, saa 1:00 adhuhuri, Mwenyezi Mungu akipenda.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan – mtaa wa Al-‘Azamah.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.