Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Ulamaa wa Umma wa Kiislamu!

(Imetafsiriwa)

Palestina ni ardhi ya Kiislamu; Umar al-Faruq (ra) aliifungua, Salahudin Al-Ayubi akaikomboa, na Khalifa Abdul Hamiid II akailinda. Haiuzwi, na haikubali kugawanyika baina ya watu wake, na aliyeikalia kimabavu, akiwatoa watu wake humo. Suluhisho lake sio dola mbili. Badala yake, utatuzi wake ni kama alivyosema Mwenyezi Mungu Al-Aziz, Al-Jabbar, na kauli yake (swt) ndiyo suluhisho la kweli, “Na wauweni katika vita popote mtakapowakuta, na watoeni popote walipo kutoeni.” [Surah Al-Baqarah: 191]. Faradhi kubwa kabisa ya Shariah, inayopita nyengine zote, ni kuwanusuru wanaodhulumiwa na kuikomboa ardhi hiyo inayokaliwa kimabavu. Faradhi hii ya Shariah haiwashukii watu tu, bali hasa juu ya majeshi ya Waislamu, kwani wao ndio wenye silaha na nguvu. Ni juu yao kwamba faradhi kuu ya Shariah ya Jihad katika Njia ya Mwenyezi Mungu (sw.) iko. Imam al-Nawawi amesema: “Kama makafiri watauvamia mji wa Kiislamu, na kuuzingira mji huo, basi jihad inakuwa faradhi kwa kila mtu binafsi (fardh ‘ain) kwa walio karibu zaidi, kisha kwa wale wanaofuata kwa ukaribu.” Al-Qurtubi amesema: “Jihad inapokuwa ni faradhi kwa kila mtu binafsi, haijuzu kwa yeyote kubaki nyuma, isipokuwa awe na udhuru ulio wazi. Yeyoye anaye fanya hivyo anapata madhambi” Ibn Qudamah amesema: “Adui anapoingia katika ardhi au imamu akatoa wito wa watu kubeba silaha, basi inakuwa ni faradhi kwa kila mtu kutoka, na haijuzu kwa yeyote kubaki nyuma.” Ama Ibn Abidin, anasema katika maelezo yake ya Hashiya (3/238), “Na ni faradhi kwa mtu binafsi (fard ain) iwapo adui atashambulia moja ya mipaka ya Uislamu, basi inakuwa ni faradhi kwa mtu binafsi kwa wale walio karibu zaidi na adui.”... Ama walio nyuma yao kimasafa kutoka kwa adui, basi ni faradhi ya kutoshelezana (fard kifaya), ikiwa hawahitajiki...” “...Kama wanahitajika kwa sababu walio karibu na adui hawawezi kumfukuza adui, au wana uwezo wa kufanya hivyo lakini wameghafilika na hawapigani...” “...basi ni fardhi kwa mtu binafsi kwa walio karibu nao, kama vile ilivyo faradhi kwa mtu binafsi katika swala na saumu, hivyo hawawezi kutelekeza wajibu huo.” “Faradhi ya mtu binafsi hapo inapanuka kwa wengine ... mpaka iwe ni faradhi kwa Waislamu wote, mashariki na magharibi, kwa namna hii ya taratibu.” Ama Al-Kasani, anasema katika “Bada’i al-Sana’i,” “Ikiwa watu wa eneo la mpakani ni dhaifu sana kuweza kuwazuia makafiri na kuogopa nafsi zao kutokana na maadui hao...” “...basi inakuwa ni faradhi kwa wale walio karibu nao, wale walio karibu nao zaidi, kisha wale wanaofuata baada yao, kwenda kwao na kuwanusuru kwa silaha, farasi na fedha...” “...Kama tulivyotaja, ni faradhi juu ya wale wote wanaostahiki jihad. Hata hivyo, faradhi hii huondoka kutoka kwao pindi utoshelevu unapopatikana kwa baadhi. Hadi utoshelevu upatikane, faradhi hiyo haiondolewi.”

#Time4Khilafah

Jumamosi, 15 Safar 1447 H sawia na 09 Agosti 2025 M

طوفان_الأقصى#

الجيوش_إلى_الأقصى#

الأقصى_يستصرخ_الجيوش#

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.