Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Amali za kimataifa za Hizb ut Tahrir za Kuinusuru Gaza!

Sehemu ya amali za kimataifa zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir kote ulimwenguni katika kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wetu mjini Gaza na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake. Haya yanajiri kutokana na athari mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi 22, yanayofanywa na umbile la halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza. Mauaji haya yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotezwa zaidi ya wanaume na wanawake 210,000 Waislamu hadi sasa.

Jumanne, 18 Safar al-Khair 1447 H sawia na 12 Agosti 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

Aqsa_calls_armies#

#AqsaCallsArmies

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.