SHERIA IMECHINJWA TENA, WAZO LA KHILAFAH LINAONEKANA KUWA NI UHALIFU
- Imepeperushwa katika Kuangaziwa na Vyombo vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo siku ya Ijumaa, 02/04/2021, sheria ilichinjwa tena kwa kesi ambayo ilianzishwa kwa sababu ya Kongamano la Khilafah nchini Uturuki mnamo 2017 lakini haikufanyika kwa sababu ya kuzuiwa na utawala.