Uharibifu Mkubwa dhidi ya Familia (Sehemu ya 2): Uhuru Unapunguza Idadi ya Familia
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maana ya uharibifu katika makala hii ni fujo na machafuko yanayo athiri mamilioni ya familia kutoka Magharibi kuelekea Mashariki na limekuwa janga la kibinadamu ambalo limesababishwa pakubwa na msukumo wa harakati za kuwawezesha wanawake.