Shavkat Mirziyoyev Anamfuata Mwalimu wake wa Kiimla Karimov katika Kuwatesa Wanawake wa Kiislamu
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mahakama ya Upeo ya Tashkent ilitoa taarifa rasmi juu ya habari zinazozunguka juu ya kukamatwa, kama hatua ya tahadhari, kwa Bi M. M. ambaye alichapisha nyezo zilizoharamishwa kwenye Facebook.