Chanzo cha Mgogoro ni Mfumo wa Kikafiri wa Kirasilimali, sio Muundo wa Mamlaka au Usimamizi
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ajenda ya Uturuki inatikiswa na kuporomoka kwa kiasi kikubwa kwa lira ya Uturuki dhidi ya dolari ya Amerika. Dolari ya Amerika, ambayo ilikuwa sawa na takriban lira 6 za Uturuki kipindi hiki mwaka jana, imevuka kiwango cha lira 13 za Uturuki.