Alhamdulillah! Hatimaye Wanachama Wetu Watatu Waachiwa Huru
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hatimaye wanachama watatu wa Hizb ut Tahrir Tanzania, Ust. Ramadhan Moshi Kakoso (45), Waziri Mkaliaganda (37) na Omar Salum Bumbo(55) waliotekwa na kubambikiwa kesi ya ugaidi na kuwekwa kizuizini kwa miaka minne na nusu wameachiwa huru siku ya Jumatano tarehe 23 Februari 2022.